Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Saa Zinazochunguza Mwili wa Mvaaji

Kila mtu huwa na chaguo lake ni simu ya kampuni gani atumie. Kwa wapenzi Samsung Galaxy Watch 8 na Watch Ultra Series (2025) kwa sasa zimekuja na ubunifu mpya unaoitwa Antioxidant Index, ambao unalenga kuboresha afya ya mtumiaji.

Kipengele hiki hutumia bio-sensor maalum inayotoa mwanga wa bluu, njano au LED kutambua kiwango cha virutubisho vya mboga na matunda mwilini.

Unapovaa saa, sensor hugusa ngozi na kuchambua kama mwili wako unahitaji kuongeza ulaji wa matunda au mboga za majani. Kupitia taarifa hizi, mtumiaji hupata mwongozo sahihi wa kiafya, hivyo kufanya saa hizi kuwa zana muhimu kwa ufuatiliaji wa lishe na ustawi wa mwili.

 

Chanzo; Mwananchi Scoop

 

Kuhusiana na mada hii: