Pengine hata katika uhai wao tusingeweza kupata picha yao ya pamoja. Ni manguli wa tatu wa muziki hapa ulimwenguni Notorious BIG, Michael Jackson pamoja na Tupac Amaru Shakur.
Lakini kwa teknolojia ya sasa na uwepo wa AI (Artificial Intelligence) tumeweza kupata picha ya manguli hao ambao walijizolea umaarufu mkubwa duniani kote.
Licha ya wote kupoteza maisha miaka kadhaa iliyopita bado umaarufu wao, influence yao katika jamii na kumbukumbu yao haijafutika hadi leo hii.Chanzo; Crown Media