Mwanamke wa Kijapani Yurina Noguchi ameripotiwa kufunga ndoa na mhusika aliyeundwa na akili bandia (AI) aitwaye Klaus, kupitia ChatGPT.

Ingawa ndoa hiyo haitambuliki kisheria nchini Japan, Noguchi anasema AI huyo anamfanya awe na furaha zaidi kuliko mahusiano ya kawaida.
Taarifa hiyo imezua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa mahusiano ya binadamu na teknolojia.
Chanzo; Cnn