Zaidi ya 40% ya idadi ya watu duniani huunganishwa kupitia mfumo ikolojia wa Meta (facebook, Instagram na Whatsapp) kila siku .
Mafanikio hayo yamefikiwa mwishoni mwa mwezi baada ya ukuaji wa kasi katika programu zote tatu.
Ripoti ya Meta ya Q3 imeorodhesha jumla ya watumiaji Bilioni 3.48 wakitumia mtandao huo kila siku.
Chanzo; Bongo 5