Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mfanyabiashara Rostam Aziz Anunua Nation Group ya Kenya

Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania, Rostam Aziz amenunua hisa zote za Wakfu wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Aga Khan, AKFED, katika shirika kubwa zaidi la habari Afrika Mashariki, Nation Media Group, NMG, na hivyo kuwa mmiliki mkuu wa shirika hilo lenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Kenya, Tanzania na Uganda - vikiwemo Daily Nation, NTV, Mwananchi Communications na Daily Monitor.

 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: