Ghana ndiyo nchi pekee kutoka Afrika ambayo ipo katika 10 bora ya nchi ambazo ndiyo wazalishaji wakubwa wa dhahabu barani Afrika.
Ghana imeipiku Afrika Kusini na kuwa mzalishaji mkubwa wa dhahabu barani Afrika, ikishika nafasi ya 6 duniani kwa tani 140.6.
Afrika Kusini ambayo ilikuwa inaongoza katika uzalishaji wa dhahabu barani Afrika imeshuhudia pato lake likipungua kwa miaka mingi.
Hizi ni takwimu kutoka Goldsilver Hq
1. China 11.5%
2. Russia 9.4%
3. Australia 8.8%
4. Canada 6.1%
5. United States 4.8%
6. Ghana 3.9 %
7. Kazakhstan 3.9%
8. Mexico 3.9%
9. Uzbekistan 3.6%
10. Indonesia 3.0 %
Chanzo; Bongo 5